Prisma Kombeki
Na. 156 · Kawaida ·
Barafu /
Maji · Umbo la msingi
Utataka kukusanya Kombeki kutoka ufukweni na kuipeleka nyumbani kama ukumbusho. Lakini ganda hili dogo linaweza kufanya mengi zaidi ya kukusanya vumbi tu kwenye droo.
Ultimate Ngao ya Timu: Ngao kwa timu nzima.
Mageuzi:
Prisma Kombeki →
Prisma Kombekuu
Vyanzo: Kupata Maumbo ya Prisma